Season 2 ya 'Wednesday' imeshusha official trailer yenye twist kubwa — huyu hapa mtu aliyekufa akirudi. Hii ndiyo pick yetu ya wiki.
Netflix wame-drop official trailer ya Wednesday Season 2, na Jenna Ortega anarudi kama Wednesday Addams kwa vibe ile ile ya deadpan tuliyoipenda season ya kwanza.
Bila ku-spoil sana, trailer ime-tease kwamba character mmoja aliyekufa season iliyopita ana-appear tena — jambo lililowaacha fans wengi wakiwa na maswali mengi kwenye social media.
Season hii ime-drop kwa parts mbili: Part 1 ilianza Agosti 6, na Part 2 ikifuata Septemba 3. Kama huja-catch up bado, hii ndiyo wiki nzuri ya ku-binge kabla ya kuona clips zikizunguka kila mahali.
Kwa mashabiki wa Nevermore Academy huku Tanzania, hii ni must-watch ya top ya list yako.
Chanzo: BongoScreen