Franchise ya Predator inaendelea kupanda baada ya 'Prey' — safari hii na hadithi mpya kabisa ya Predator aliyefukuzwa kwenye clan yake.
Kama ulipenda Prey, weka Predator: Badlands kwenye radar yako. Filamu hii, kutoka kwa director yule yule Dan Trachtenberg, ina-follow young Predator ambaye ame-outcast kutoka kwenye clan yake, akitafuta ally asiyetegemewa kwenye safari yake ya kutafuta adui mkubwa zaidi.
Official trailer imeonyesha visuals za kutisha na world-building ya kina — jambo ambalo franchise hii imekuwa ikiendelea kuli-nail tangu Prey ilivyobadilisha mtazamo wa watu kuhusu Predator movies.
Filamu inatarajiwa cinema Novemba 7. Kama unapenda sci-fi horror yenye action ya kutosha, hii ni moja ya releases za ku-plan around mwaka huu.
Weka tarehe — hii itakuwa moja ya box office battles kubwa za msimu.
Chanzo: BongoScreen