Lanterns episode 3 imejaa Easter eggs na comic references zaidi ya 10 huku ikifunua origin story ya kushangaza ya John Stewart na uhusiano wake wa mapema na Hal Jordan.
HBO's Lanterns imeendelea kutupatia mambo makubwa episode 3, na badala ya kuendelea na murder mystery ya Rushville, Nebraska, wame-flashback kuonyesha origin story kamili ya Aaron Pierre's John Stewart. Episode hii imejaa Easter eggs, comic book references na DCU ties nyingi kiasi kwamba fans wa Green Lantern wamepata mengi ya ku-analyze.
Hapa chini ni baadhi ya vitu muhimu vilivyoonekana kwenye episode:
OutKast (Jina la Episode) - Episode imepewa jina baada ya hip-hop duo maarufu OutKast. Young John anaimba "ATliens" na baadaye "Gasoline Dreams" inasikika episode ikiisha - fitting title ikizingatia jinsi John alivyokuwa outcast kwenye family yake mwenyewe kutokana na destiny yake.
Janus Cosmetics - Wakati wa interview ya John na Guardian (Laura Linney) mwaka 2016, kuna storefront ya Janus Cosmetics. Kwenye comics, Janus ilikuwa kampuni ya baba yake Roman Sionis kabla ya kuwa Black Mask - dalili kwamba huenda Black Mask tayari yupo active Gotham City ya DCU.
Hal Jordan Mwenye Mask - Kwenye news footage ya zamani, Hal Jordan anaonekana akiwa na green domino mask kama ilivyo kwenye comics za awali.
Guardians Reveal - Tunapata full look ya kwanza ya Guardian kutoka nyuma - warefu zaidi kuliko kawaida wanavyoonyeshwa comics, lakini blue skin, white hair na red clothing bado zinafanana. Pia imethibitishwa kulikuwa na Guardians 12 originally kabla mmoja hajauawa na Sinestro.
No More Power Rings Choosing Wenyewe - Guardian anathibitisha kwamba sasa Guardians wenyewe ndio wanafanya interviews badala ya power rings ku-choose recruits peke yake - kitu kinachoweza kuwa muhimu kwa origin ya Guy Gardner ambaye bado hajaonekana kwenye show.
Sauti ya Abin Sur - Kwenye flashback, tunasikia sauti inayodhaniwa kuwa ya Abin Sur akimuuliza John Stewart Sr. kama ana hofu - jibu lake "yes" ndilo lililosababisha ring kumchagua Hal Jordan badala yake.
Baba Aliyekaribia Kuondoka - Bernadette Stewart karibu amwambie mumewe aondoke kabla ya kukutana na Guardian. Hii inafanana na comics ambapo baba yake John, Henry, alikuwa mlevi aliyewaacha wakiwa wadogo - jina "Henry" limetajwa na kaka yake John kwenye episode.
Gray Wolf Mission - John akiwa Marine sniper anapewa mission Russia kumtafuta criminal anayeitwa Gray Wolf - jina linalofanana na character mwingine wa comics anayehusiana na Batman Inc.
Uhusiano wa Sinestro na Hal Jordan - Imethibitishwa Sinestro alikuwa mentor wa Hal Jordan DCU, sawa na comics, na Jordan anamwona kama baba - jambo linaloweza kumfanya awe rahisi kudanganywa naye baadaye.
Suti ya John Yenye Usahihi wa Comics - Kwa siku yake ya kuzaliwa ya tano, John anapewa homemade Green Lantern suit na wazazi wake wanapoanza kumtayarisha kwa destiny yake kama Green Lantern ajaye.
Episode hii kwa kweli ime-set foundation kubwa kwa John Stewart's journey ndani ya Lanterns na DCU kwa ujumla.
Chanzo: ScreenRant