
Scooby-Doo Anarudi Rasmi 2027: Netflix Yathibitisha Reboot Mpya ya Live-Action
Netflix imethibitisha kwamba live-action series ya Scooby-Doo: Origins imemaliza production na itakuja 2027, ikieleza jinsi Mystery Inc. ilivyoanzishwa.

Kutoka kwa creator wa 'Mare of Easttown' — Mark Ruffalo ana-play FBI agent anayewinda genge la wezi hatari kwenye drama mpya ya HBO.
Kutoka kwa Brad Ingelsby — creator wa Mare of Easttown — inakuja Task, drama mpya ya HBO iliyoshusha official trailer yenye intensity ya hali ya juu.
Mark Ruffalo ana-play FBI agent anayepewa jukumu la kuongoza task force ya maafisa wasio na experience nyingi, ili kukomesha msururu wa wizi wa kutumia silaha unaoongozwa na baba wa familia (Tom Pelphrey) ambaye hana mwonekano wa "mhalifu."
Kama Mare of Easttown, Task ina-set kwenye suburbs za Philadelphia, ikichambua matatizo ya kijamii — hasa matumizi ya dawa za kulevya — yanayojificha chini ya uso wa maisha ya kawaida.
Cast kubwa inajumuisha Tom Pelphrey, Emilia Jones, Thuso Mbedu na Raúl Castillo. Episodes saba za season hii zime-drop weekly.
Kwa fans wa crime dramas zenye emotional depth, Task ni moja ya lazima-ku-watch za mwaka.
Chanzo: BongoScreen
Bongo Score
Bado hakuna rating
Sema lako — hakuna account inayohitajika. Kuwa na heshima kwa wengine.
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza ku-comment!
Endelea kusoma

Netflix imethibitisha kwamba live-action series ya Scooby-Doo: Origins imemaliza production na itakuja 2027, ikieleza jinsi Mystery Inc. ilivyoanzishwa.

Baada ya Silo season 3 kumalizika, parallels kati ya show hii na Fallout franchise zimekuwa wazi kuliko wakati wowote — kutoka vault conspiracies mpaka founders wanaojificha kwenye cryo-sleep.

Episode 3 ya Lanterns imefichua backstory nzito ya John Stewart — kuanzia malezi magumu ya wazazi wake mpaka safari yake ya kijeshi iliyomfikisha kwenye ulimwengu wa Green Lantern.

Showrunner wa VisionQuest amefunua kuwa series mpya ya Marvel itaonyesha kifo cha Iron Man kutoka macho ya Vision mwenyewe — AI aliyeshindwa kumlinda alie 'programmed' kumlinda.