Hii ni habari kubwa! Nimekuwa nikisubiri GTA 6 tangu 2013. Novemba haiko mbali sana sasa.

GTA 6: Rockstar Ya-confirm Tarehe ya Kutoka — Novemba 19, 2026
Baada ya miaka ya kusubiri, Rockstar ime-confirm rasmi kwamba Grand Theft Auto VI itatoka Novemba 19, 2026 — kwa PS5 na Xbox Series X/S.
Miaka ya kusubiri, theories na leaks — sasa ni official. Rockstar Games ime-confirm kwamba Grand Theft Auto VI itatoka Novemba 19, 2026, ikiwa exclusive kwa PlayStation 5 na Xbox Series X/S kwa awamu ya kwanza.
Trailer ya pili, iliyo-drop Mei 2025, ilikuwa footage ya in-game moja kwa moja kutoka PS5 — mchanganyiko wa cutscenes na gameplay uliowaacha mashabiki wakizungumza kwa wiki nzima. Rockstar pia walitoa zaidi ya screenshots 70 rasmi wakati huo huo.
Game hii imekuwa moja ya anticipated releases kubwa zaidi kwenye historia ya gaming, na kila detail — kutoka map hadi characters — imekuwa ikichambuliwa line by line na community.
Kwa gamers wa Tanzania wanaosubiri kwa hamu, countdown rasmi imeanza. Novemba 2026 haiko mbali tena.
Chanzo: BongoScreen
Bongo Score
Bado hakuna rating
Maoni (1)
Sema lako — hakuna account inayohitajika. Kuwa na heshima kwa wengine.
- Juma Kileo
Endelea kusoma
Soma Zaidi

Crunchyroll Game Vault Inaongeza Games Mpya - ReStory Ndiyo Inayoongoza Kwa Cozy Vibes
Crunchyroll Game Vault imeongeza games mpya kama ReStory, Baki Hanma: Blood Arena na Streets of Rage 4, ikiwapa Mega na Ultimate Fan members zaidi ya 100 games bila ads wala in-app purchases.

Pokémon Movie Mpya Yatangazwa Baada ya Miaka 7 - Itakuwa Tofauti na Zote Zilizopita
Baada ya kukaa kimya kwa miaka saba, Pokémon franchise imetangaza filamu mpya iitwayo Wild Card ambayo itakuwa ya kwanza ya aina yake katika historia yote ya series.

Trailer ya Kwanza ya Stranger Things: Tales From '85 Yaonyesha Hawkins Ikiingia Kwenye Ulimwengu wa Paranormal
Netflix imetoa trailer ya kwanza ya Stranger Things: Tales From '85, animated series inayoziba gap kati ya Season 2 na 3, huku Eleven na gang wakikutana na ghostly monsters mpya kutoka Upside Down.

Gears of War: E-Day Inakosa Point ya Prequel - Preview Inaonyesha Story Bado Haijakomaa
Preview ya Gears of War: E-Day imeonyesha gameplay nzuri lakini story inayokosa depth inayotakiwa kwa prequel - je, jiji la Kalona litafanya kazi kama character halisi?